Harmonize – Hainistui Lyrics

Harmonize – Hainistui Lyrics

[Intro chorus]
Yaaweya, Jeshi
Konde Boy

Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

[Hainistui Lyrics Verse One]
Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa

Majunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana na

Wako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepea

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

[Chorus]
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

[Verse Two]
Sinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazi

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

[Chorus]
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

[Hainistui Lyrics Verse Three]
Ina ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post